Breaking News

Zaiid-Mchaff [Download]mp3

Zaiid-Mchaff [Download]mp3
Wakati akijiandaa kuachia wimbo wake rasmi mwaka huu, Wowowo, rapper Zaiid Jumapili hii aliamua kutoa zawadi ya siku ya kuzaliwa. Ni wimbo wake uitwao Mchaff aliotumia beat ya wimbo wa zamani wa kundi la Naughty By Nature, Hip Hop Hooray.

No comments