Breaking News

AUDIO: Doncher Master 'Kutojitambua Kwa Wasanii na Rushwa Kwenye Media Ndiyo Vinauwa Muziki Mwanza

Katika kukuhakikishia tunakuletea habari kila siku, leo website yako pendwa Theclick101.com imepiga stori na moja kati ya maproducer wenye uwezo mkubwa sana Jijini Mwanza. Na ishu kubwa iliyotufanya tumtafute Doncher Master ilikuwa ni kutaka kujua changamoto zinazowakumba wasanii jijini Mwanza, lingine ni kutaja kujua matatizo ambayo yapo kwenye media za Mwanza haswa kwenye kuuinua muziki wa Mwanza. Doncher Master alikuwa na haya ya kusema;


    'Wasanii wanaubinafsi kati yao, wengi wao hawajielewi, pia rushwa imetawala kwenye media za Mwanza, wenye pesa ndiyo wanaosikika wasio na pesa wanaishia vichochoroni'  MSIKILIZE KWA UNDANI HAPA CHINI AKIELEZEA...






No comments