Breaking News

AUDIO: Ben Pol- Moyo Mashine Remix By Rick & YD | Download Hapa

Baada ya Ben Pol kutoa nafasi ya msanii kuweza kufanya Remix ya nyimbo yake mpya inayo fanya vizuri kwa sasa, Moyo Mashine. Wasanii kutoka jijini Mwanza wanaofahamika kama RICK na mwenzake YD wameweza kufanya remix ambayo kwakweli inastahili sifa na imepokelewa vizuri sana tangu iachiwe. Ipakuwe hapa kwa mara ya kwanza



No comments