Katika kusherehekea sikukuu ya Christmas, Vanessa Mdee, Tommy Flavour na mdogo wake Mimi Mars, wameungana kutayarisha EP yenye nyimbo 3. EP imetayarishwa kwenye studio za BKEJ. Nyimbo hizo ni pamoja na ‘Heri ya Christmas’, ‘O Holy Night’, ‘The Drummer Boy.’ Enjoy.ALLEN CHUMA BLOG
Vee Money, Tommy Flavour & Mimi Mars - Christmas Song[Download]mp3
Reviewed by Allen chuma
on
3:43 AM
Rating: 5
No comments